Mark 1:34

34 aIsa akawaponya watu wengi waliokuwa na magonjwa ya aina mbalimbali. Akawatoa pepo wachafu wengi, lakini hakuwaacha hao pepo wachafu waseme, kwa sababu walimjua yeye ni nani.

Isa Aenda Galilaya

(Luka 4:42-44)

Copyright information for SwhKC